• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 14, 2022

  AZAM MARINE KUVUSHA ABIRIA KIGAMBONI


  WAKALA wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) wameingia makubaliano na Azam Marine ili kutumia vivuko vya Azam Marine kutoa huduma katika eneo la Kigamboni, Dar es Salaam. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM MARINE KUVUSHA ABIRIA KIGAMBONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top