• HABARI MPYA

  Friday, June 24, 2022

  TANZANIA YAPEWA MALAWI KUFUZU FAINALI ZA BEACH SOCCER


  TANZANIA itamenyana na Malawi katika kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Soka ya Ufukweni baadaye mwaka huu nchini Msumbiji.
  Tanzania itaanzia ugenini kati ya Julai 22 na 24, kabla ya timu hizo kurudiana Dar es Salaam kati ya Agosti 5 na 7.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAPEWA MALAWI KUFUZU FAINALI ZA BEACH SOCCER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top