Mwanzo > HABARI ZA NYUMBANI > KIBU DENNIS AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MEI SIMBA HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA HABARI ZA NYUMBANI KIBU DENNIS AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MEI SIMBA MSHAMBULIAJI wa mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Kibu Denis amekabidhiwa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki wa Simba SC mwezi Mei sambamba na kitita cha Sh. Milioni 2 kutoka kwa wadhamini, Emirate Aluminium Simba ACP. Friday, June 17, 2022 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA HABARI ZA NYUMBANI
0 comments:
Post a Comment