• HABARI MPYA

  Thursday, June 02, 2022

  STARS YAWAFUATA NIGER MECHI YA KWANZA KUFUZU AFCON COTONOU


  TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imendoka leo kwenda Benin kwa ndege ya kukodi kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza Kundi F kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya Niger Juni 4 Uwanja wa L'Amitié mjini Cotonou.
  Baada ya hapo, Taifa Stars itarejea nyumbani kwa mchezo wa pili wa Kundi F dhidi ya Algeria Juni 8 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kuwania tiketi ya Ivory Coast 2023.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STARS YAWAFUATA NIGER MECHI YA KWANZA KUFUZU AFCON COTONOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top