Mwanzo > YANGA > RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA 28 FIFA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA TFF YANGA RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA 28 RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu, ambao unakuwa ni wa 28 na wa rekodi kwao kihistoria. Monday, June 27, 2022 FIFA HABARI MOTOMOTO HABARI ZA NYUMBANI LIGI KUU BARA TFF YANGA
0 comments:
Post a Comment