• HABARI MPYA

  Thursday, June 02, 2022

  COASTAL UNION YATOA MCHEZAJI NA KOCHA BORA LIGI KUU MEI


  MSHAMBULIAJI wa Coastal Union ya Tanga, Abdul Suleiman ‘Sopu’ ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa mwezi Mei, huku kocha wake, Juma Mgunda akishinda Tuzo ya Kocha Bora.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COASTAL UNION YATOA MCHEZAJI NA KOCHA BORA LIGI KUU MEI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top