• HABARI MPYA

  Wednesday, June 29, 2022

  YANGA YAMALIZA LIGI KWA USHINDI WA 1-0


  MABINGWA, Yanga SC wamemaliza Ligi Kuu ya Tanzania Bara vizuri kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Bao pekee la Yanga limefungwa na winga Dennis Nkane na kwa matokeo hayo wanamaliza na pointi 74, wakiwazidi pointi 13 mabingwa wa misimu minne iliyopita, Simba SC.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA YAMALIZA LIGI KWA USHINDI WA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top