• HABARI MPYA

  Thursday, June 09, 2022

  KILIMANJARO QUEENS YATUPWA NJE CECAFA CHALLENGE


  NDOTO za Tanzania Bara kutwaa Kombe la CECAFA Challenge Wanawake 2022 zimeota mbawa baada ya kuchapwa 2-1 na Burundi leo Uwanja wa FTC Njeru Jijini Kampala nchini Uganda.
  Bao pekee la Kilimanjaro Queens limefungwa na Opa Clement Sanga na sasa Burundi itakutana na Uganda katika Fainali, wakati Tanzania Bara itawania nafasi ya tatu dhidi ya Ethiopia Jumamosi.
  Uganda iliichapa Ethiopia 1-0 katika mchezo uliodumu kwa dakika 120.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KILIMANJARO QUEENS YATUPWA NJE CECAFA CHALLENGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top