• HABARI MPYA

    Thursday, June 23, 2022

    FIFA YAISHUSHIA ‘KITU KIZITO’ BIASHARA UNITED


    SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limeifungia klabu ya Biashara United kufanya usajili wa wachezaji wapya kwa madirisha mawili kwa kushindwa kumlipa mishahara mchezaji wake, Timoth Omwenga.
    Beki huyo Mkenya alipeleka malalamiko yake FIFA na Biashara ikazuiwa kufanya usajili mpya hadi imalizane naye, lakini uongozi wa Klabu hiyo ukakaidi agizo hilo.
    Hiyo imemponza Katibu wa Biashara United, Hajji Mtete kufungiwa kujihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: FIFA YAISHUSHIA ‘KITU KIZITO’ BIASHARA UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top