• HABARI MPYA

  Monday, June 06, 2022

  BAJETI YA MICHEZO 2022-23 NI BILIONI 35.4


  WAZIRI wa Utamaduni na Michezo, Mohamed Omar Mchengerwa leo amewasilisha Bungeni mapendekezo ya Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2022 -23, ambayo ni kiasi cha Sh. Bilioni 35.4.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAJETI YA MICHEZO 2022-23 NI BILIONI 35.4 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top