• HABARI MPYA

  Friday, June 24, 2022

  FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA  KLABU ya Geita Gold imefungiwa kusajili wa mchezaji mpya hadi hapo itakapomalizana na aliyekuwa kocha wake, Ettiene Ndayiragijje iliyemfukuza baada ya mechi kadhaa mwanzoni mwa msimu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top