// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); BALE AIPELEKA WALES KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 64 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BALE AIPELEKA WALES KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 64 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Monday, June 06, 2022

  BALE AIPELEKA WALES KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 64


  WENYEJI, Wales wamefanikiwa kufuzu Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Ukraine Jumapili Uwanja wa Cardiff City Jijini Cardiff.
  Bao pekee la Wales alijifunga beki Andriy Yarmolenko akijaribu kuzuia mpira wa adhabu wa Gareth Bale dakika ya 34 na kikosi cha Rob Page kinafuzu Kombe la Dunia baada ya miaka 64.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BALE AIPELEKA WALES KOMBE LA DUNIA BAADA YA MIAKA 64 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top