• HABARI MPYA

  Sunday, June 12, 2022

  SIMBA YAICHAPA CAMBIANSO 3-2 MECHI YA KIRAFIKI


  MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Cambianso Academy katika mchezo was kirafiki Leo Jijini Dar es Salaam. 
  Mabao ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Kibu Denis mawili na lingine Sadio Kanoute, wakati ya Cambianso yote yamefungwa na Simon Msuva.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA YAICHAPA CAMBIANSO 3-2 MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top