• HABARI MPYA

  Sunday, March 20, 2022

  ‘LUNYAMILA’ MCHEZAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MOROCCO


  MWANASOKA Mtanzania, Enekia Kasonga ‘Lunyamila’ ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Morocco msimu wa 2021/2022, pichani Enekia (kulia) akiwa na mchezaji mwenzake wa Tanzania Diana Msewa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ‘LUNYAMILA’ MCHEZAJI BORA LIGI YA WANAWAKE MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top