• HABARI MPYA

  Sunday, March 27, 2022

  SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUIVAA USGN


  KIKOSI cha Simba kimeingia kambini leo kujiandaa mechi yake ya mwisho ya Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Gendamarie ya Niger Aprili 3, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Simba inahitaji ushindi lazima katika mchezo huo ili kujikatia tiketi ya kwenda Robo Fainali.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAINGIA KAMBINI KUJIANDAA KUIVAA USGN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top