• HABARI MPYA

  Thursday, March 17, 2022

  YANGA WAMUENZI MAGUFULI KWA NA NAMNA HII


  VIONGOZI wa benchi la Ufundi na wachezaji leo waumeungana na Watanzania wote katika kumbukizi ya Mwaka mmoja wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliekuwa Rais wa Awamu ya Tano kwa kuwatembelea Wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAMUENZI MAGUFULI KWA NA NAMNA HII Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top