• HABARI MPYA

  Wednesday, March 09, 2022

  KAPOMBE MCHEZAJI BORA WA SIMBA FEBRUARI


  BEKI wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe akiwa ameshika Tuzo yake ya Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa klabu hiyo baada ya kukabidhiwa na wadhamini, Emirate Aluminium.


  Shomari Kapombe akikabidhiwa mfano wa Hundi wa Sh. Milioni 2 kama zawadi ya ushindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Simba mwezi Februari.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAPOMBE MCHEZAJI BORA WA SIMBA FEBRUARI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top