// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KAMATI YA LESENI TFF YATEMBELEA YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KAMATI YA LESENI TFF YATEMBELEA YANGA SC - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Friday, March 18, 2022

  KAMATI YA LESENI TFF YATEMBELEA YANGA SC


  KAMATI ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Wakili Emmanuel Matondo (wa tatu kushoto) leo imetembelea Yanga kuangalia utekelezaji wa Kanuni ya Leseni za Klabu kwa klabu hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Senzo Mazingiza.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KAMATI YA LESENI TFF YATEMBELEA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top