• HABARI MPYA

  Sunday, March 13, 2022

  ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 1-0 EMIRATES


  MABAO ya Thomas Partey dakika ya na Alexandre Lacazette kwa penalti dakika ya baada ya Çaglar Soyuncu kuunawa mpira yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya Leicester City Uwanja wa Emirates Jijini London leo.
  Arsenal inafikisha pointi 51 na kurejea nafasi ya nne, wakati Leicester inabaki na pointi zake 33 za katika nafasi ya 12 baada ya wote kucheza mechi 26.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 1-0 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top