• HABARI MPYA

  Tuesday, March 01, 2022

  MAMA MKAPA AKUTANA NA MABOSI TFF, BODI YA LIGI


  MWENYEKITI wa mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF), Mama Anna Mkapa  leo ametembelea Makao Makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu, Kidao Wilfred (wa pili kutoka kulia).
  Wengine katika picha ni Mkurugenzi wa Mashindano TFF Salum Madadi (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa EOTF, Stephen Emanuel (wa pili kushoto) na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo (wa kwanza kulia).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAMA MKAPA AKUTANA NA MABOSI TFF, BODI YA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top