• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 01, 2022

  MFADHILI, GHALIB WA YANGA AFIWA NA BABA MZAZI




  MFADHILI Mkuu wa klabu ya Yanga na Mwenyekiti wa Makampuni ya GSM Tanzania, Gharib Said Mohammed amefiwa na baba yake mzazi, Sheikh Said Mohamed leo Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MFADHILI, GHALIB WA YANGA AFIWA NA BABA MZAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top