• HABARI MPYA

  Thursday, March 10, 2022

  YANGA NA KMC YASOGEZWA, KUCHEZA NA SOMALIA JUMAMOSI  MECHI ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC dhidi ya KMC iliyopangwa kufanyika Machi 16, mwaka huu umesogezwa mbele hadi Machi 19 hapo hapo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
  Wakati huo huo: Yanga watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Somalia kuanzia Saa 1:00 usiku Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA KMC YASOGEZWA, KUCHEZA NA SOMALIA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top