• HABARI MPYA

  Monday, March 21, 2022

  MSUVA MAZOEZINI STARS IKIJIANDAA KUZIVAA SUDAN NA CAR


  MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’, Simon MSUVA akiwa mazoezini timu hiyo ikijiandaa na michezo miwili ya kirafiki iliyo katika kalenda ya FIFA dhidi ya Jamhuri yaAfrika ya Kati Machi 23 na Sudan Machi 29 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA MAZOEZINI STARS IKIJIANDAA KUZIVAA SUDAN NA CAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top