• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 16, 2022

  AISHA WA YANGA PRINCESS ASAJILIWA LIGI KUU SWEDEN


  MSHAMBULIAJI wa timu ya wanawake ya Yanga, Yanga Princess, Aisha Masaka amesajiliwa na klabu ya BK Hacken FF ya Ligi Kuu ya Sweden.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AISHA WA YANGA PRINCESS ASAJILIWA LIGI KUU SWEDEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top