• HABARI MPYA

  Friday, March 25, 2022

  YANGA KUCHEZA NA MAFUNZO JUMATANO CHAMAZI


  VINARA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Yanga SC wanatarajia kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar Jumatano ijayo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA KUCHEZA NA MAFUNZO JUMATANO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top