• HABARI MPYA

  Sunday, March 27, 2022

  MAYELE AKIMPA DARASA CHIPUKIZI WA YANGA


  KINARA wa mabao Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele akimpa maarifa ya kiushambuliaji na ufungaji mshambuliaji chipukizi wa timu hiyo, Yussuf Athumani katika mazoezi ya timu hiyo kambini kwao, Avic Town, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAYELE AKIMPA DARASA CHIPUKIZI WA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top