• HABARI MPYA

  Sunday, March 06, 2022

  NTIBA MCHEZAJI BORA, NABI KOCHA BORA FEBRUARI LIGI KUU  KIUNGO Mrundi, Saido Ntibanzokiza ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi Februari baada ya kuwapiku mchezaji mwenzake wa Yanga, mshambuliaji Mkongo Fiston Kalala Mayele na Relliant Lusajo wa Namungo FC.


  Kwa upande wake, kocha Mtunisia Nasredine Mohamed Nabi ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Februari dhidi ya Freddy Felix Minziro wa Geita Gold na Thierry Hitimana wa KMC.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NTIBA MCHEZAJI BORA, NABI KOCHA BORA FEBRUARI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top