• HABARI MPYA

  Friday, March 04, 2022

  MAZOEZI YA MWISHO AZAM KABLA YA KUIVAA POLISI


  WACHEZAJI wa Azam FC wakifanya mazoezi kuelekea mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Polisi Tanzania Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO AZAM KABLA YA KUIVAA POLISI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top