• HABARI MPYA

  Tuesday, March 22, 2022

  MABINTI WAREJEA FURAHA YA USHINDI


  TIMU  ya taifa ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 imerejea jana usiku kutoka Botswana baada ya Jumapili kufanikiwa kwenda Raundi ya Tatu kufuzu Kombe la Dunia kufuatia ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji.
  Tanzania ile songa mbele kwa ushindi wa jumla wa 11-0, kufuatia  mechi ya kwanza kushinda 8-0 Zanzibar.
  Na sasa itamenyana na Burundi kuwania kuingia hatua ya mwisho ya mchujo ambako watamenyana na mshindi katinya Cameroon na Zambia, mtihani ambao wakiuvuka watakwenda India 2022.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MABINTI WAREJEA FURAHA YA USHINDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top