• HABARI MPYA

  Thursday, March 31, 2022

  AISHA MASAKA ALIVYOYAANZA MAISHA YA ULAYA


  MSHAMBULIAJI chipukizi wa Kimataifa wa Tanzania, Aisha Khamis Masaka ‘Aisha Magoal’ (18), akiwa mazoezini na timu yake mpya, BK Hacken Jijini Gothenburg, Sweden baada ya kutambulishwa kufuatia kujiunga nayo akitokea Yanga Princess ya nyumbani, Dar es Salaam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AISHA MASAKA ALIVYOYAANZA MAISHA YA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top