// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, March 20, 2022

  CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA


  MABAO ya Romelu Lukaku dakika ya 15 na ‘birthday boy’ Hakim Ziyech dakika ya 31 yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Middlesbrough katika mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England Jumamosi Uwanja wa Riverside.
  Kwa matokeo hayo, mabingwa hao wa Ulaya wanakwenda Nusu Fainali ya FA ambayo itapigwa Uwanja wa Wembley Jijini London.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YATANGULIA NUSU FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top