• HABARI MPYA

  Wednesday, March 30, 2022

  HUHITAJI LAINI MPYA KUJIUNGA NA AZAM PESA


  Manake hapo kwanza nicheke! 😆

  Huhitaji laini mpya kujiunga na AzamPesa! Vimba kwa kutumia namba yako ya Tigo, Airtel au Zantel. 
  Jisajili leo kupitia wakala wa AzamPesa karibu yako ufurahie Huduma za Kifalme kwa Bei za Kizawa.
  @officialbakhresagroup
  @azampesa
  #AzamPesa #HudumazaKifalme #BeizaKizawa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUHITAJI LAINI MPYA KUJIUNGA NA AZAM PESA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top