• HABARI MPYA

  Friday, March 04, 2022

  TANZANIA U17 TAYARI KUIVAA BOTSWANA JUMAPILI KOMBE LA DUNIA


  WACHEZAJI wa timu ya taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17 wakifanya mazoezi kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Botswana Jumapili Uwanja wa Amaan, Zanzibar.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA U17 TAYARI KUIVAA BOTSWANA JUMAPILI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top