• HABARI MPYA

    Wednesday, March 16, 2022

    SIMBA SC WAONGEZA NGUVU KUIVAA ASEC JUMAPILI BENIN


    KIUNGO wa Simba SC, Jonas Gerlard Mkude akifanya mazoezi Gym kujiandaa na mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas Jumapili Uwanja wa De l'Amitié Jijini nchini Benin.


    Mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Dennis Prosper akifanya mazoezi Gym kujiandaa na mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas mwishoni mwa wiki nchini Benin.


    Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi Gym kujiandaa na mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, ASEC Mimosas mwishoni mwa wiki nchini Benin.
    Simba inaongoza Kundi D kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na  
    ASEC Mimosas yenye pointi sita sawa na RSB Berkane ya Morocco, wakati USGN ya Niger inashika mkia kwa pointi zake nne baada ya mechi za awali kuelekea mbili za mwisho.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC WAONGEZA NGUVU KUIVAA ASEC JUMAPILI BENIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top