• HABARI MPYA

  Monday, March 28, 2022

  YANGA KUKATA UTEPE ROBO FAINALI ASFC  VIGOGO, Yanga SC ndio watakata utepe katika Hatua ya Robo Fainali Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kwa kumenyana na Geita Gold Aprili 10, mwaka huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA KUKATA UTEPE ROBO FAINALI ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top