• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 16, 2022

  YANGA WAMPA POLE MFADHILI WAO GSM


  UONGOZI wa Yanga umempa pole mfadhili wao, Gharib Said Mohamed (GSM) kwa kuunguliwa na kiwanda chake cha kutengeneza magodoro cha GSM Foam mwishoni mwa wiki.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA WAMPA POLE MFADHILI WAO GSM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top