• HABARI MPYA

  Monday, March 28, 2022

  WANAFUNZI UDOM WATEMBELEA AZAM COMPLEX  WANAFUNZI na wakiambatana na Serikali yao ya wanafunzi, wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo wametembelea makao makuu ya klabu ya Azam FC, Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu klabu hiyo yenye uwekezaji mkubwa zaidi Afrika Mashariki na Kati.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WANAFUNZI UDOM WATEMBELEA AZAM COMPLEX Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top