• HABARI MPYA

  Friday, March 04, 2022

  MOLOKO AFANYIWA UPASUAJI, YANGA WATUA MWANZA


  WINGA Mkongo wa Yanga SC, Jesus Moloko amefanyiwa upasuaji leo Jijini Dar es Salaam baada ya kuumia mwezi uliopita na atakuwa nje kwa wiki zizisopungua tatu.  Wakati huo huo, kikosi cha Yanga kimewasili Jijini Mwanza mapema leo tayari kwa mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya went, Geita Gold Jumapili Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MOLOKO AFANYIWA UPASUAJI, YANGA WATUA MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top