• HABARI MPYA

  Wednesday, March 16, 2022

  TFF YAANZA KUTOA LESENI ZA KLABU MWAKA MPYA


  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) jana limeanza rasmi kutoa fomu za maombi ya leseni za klabu kwa mwaka 2022-2023 na tarehe ya mwisho ya kuchukua ni Aprili 23, mwaka huu.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TFF YAANZA KUTOA LESENI ZA KLABU MWAKA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top