• HABARI MPYA

  Saturday, April 03, 2021

  TANZANIA YAFUZU FAINALI ZA SOKA YA UFUKWENI SENEGAL MEI MWAKA HUU BAADA YA KUITOA BURUNDI LEO COCO  TANZANIA imefanikiwa kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Soka la Ufukweni licha ya kufungwa 6-4 na Burundi leo kwenye mchezo wa marudiano ufukwe wa Coco Jijini Dar es Salaam.
  Tanzania inayofundishwa na Boniface Pawasa inafuzu kwenye Fainali hizo zitakazofanyika Jijini Dakar nchini Senegal kuanzia Mei 23 hadi 29 mwaka huu kwa ushindi wa jumla wa 12-9 baada ya kushinda 8-3 kwenye mechi ya kwanza hapa hapa Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAFUZU FAINALI ZA SOKA YA UFUKWENI SENEGAL MEI MWAKA HUU BAADA YA KUITOA BURUNDI LEO COCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top