• HABARI MPYA

  Tuesday, April 06, 2021

  UONGOZI WA YANGA SC WAKANA MPANGO WA KUFANYA MAANDAMANO, KUKATA RUFAA KUPINGA ADHABU YA MWAKALEBELA

  YANGA SC imekana barua inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai klabu hiyo imeomba kuandamana kupinga uonevu wanaofanyiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).


  Pamoja na hayo, Yanga SC itakata rufaa kupinga adhabu ya kufungiwa kwa Makamu wake Mwenyekiti, Frederick Mwakalebela.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UONGOZI WA YANGA SC WAKANA MPANGO WA KUFANYA MAANDAMANO, KUKATA RUFAA KUPINGA ADHABU YA MWAKALEBELA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top