• HABARI MPYA

  Saturday, April 10, 2021

  KIDUKU AMSHINDA KWA POINTI KAYEMBE, SEGU APIGWA TKO

  BONDIA Twaha Kassim Rubaha, maarufu kama Twaha Kiduku jana alimshinda kwa pointi Tshibangu Kayembe ‘Bebe Rico’ wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika pambano la raundi nane uzito wa Middle ukumbi wa Ubungo Plaza, Dar es Salaam.

  Mtanzania mwingine, Jonas Segu ali vuliwa mkanda wa Mabara la WBF uzito wa Light baada ya kupigwa na Mmalawi Hannock Phiri kwa TKO raundi ya tisa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KIDUKU AMSHINDA KWA POINTI KAYEMBE, SEGU APIGWA TKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top