KIUNGO wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Amri Kiemba ni miongoni mwa washiriki wa Kozi ya Ukocha ngazi ya kati inayoendelea kwa mafunzo ya vitendo makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Uwanja wa Karume, Ilala Jijini Dar es Salaam.
AFISA Mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Antonio Nugaz naye pia anashiriki wa Kozi hiyo.
0 comments:
Post a Comment