• HABARI MPYA

  Saturday, April 10, 2021

  MAN CITY YAPUNGUZWA KASI, YACHAPWA 2-1 NA LEEDS UNITED ETIHAD


  VINARA, Manchester City wamepunguzwa kasi baada ya kuchapwa 2-1 na Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.
  Mabao yote ya Leeds yamefungwa na Stuart Dallas dakika ya 42 na 90, wakati la Man City limefungwa na Ferran Torres dakika ya 76.
  Pamoja na kufungwa, Man City inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 14 zaidi ya mahasimu wao wa Jiji, Manchester United ambao hata hivyo wana mechi mbili mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAPUNGUZWA KASI, YACHAPWA 2-1 NA LEEDS UNITED ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top