• HABARI MPYA

  Friday, April 23, 2021

  MEDDIE KAGERE NA PRINCE DUBE WAKABANA KOO KUWANIA UFUNGAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

   

  WASHAMBULIAJI wa kigeni, Mnyarwanda Meddie Kagere wa Simba SC na Mzimbabwe, Prince Dube Mpumelelo wa Azam FC ndiyo wanaongoza kwa mabao katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
  Wawili hao, kila mmoja ana mabao 11, wakifuatiwa na Nahodha wa Simba SC, John Bocco mwenye mabao 10, wakati Danny Lyanga wa JKT Tanzania, Fully Maganga wa Ruvu Shooting na Meshack Abraham wa Gwambina FC kila mmoja ana mabao manane.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MEDDIE KAGERE NA PRINCE DUBE WAKABANA KOO KUWANIA UFUNGAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top