• HABARI MPYA

  Friday, April 23, 2021

  SAID MOURAD 'MWEDA' AIBUKIA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI KUJIANDAA NA FAINALI ZA AFRIKA


  BEKI wa zamani wa kimataifa wa Tanzania, Said Mourad 'Mweda' aliyewahi kuchezea za Ashanti United, Simba SC, Azam FC za Dar es Salaam na Kagera Sugar ya Bukoba akiwa mazoezini na timu ya taifa ya soka la Ufukweni (Beach Soccer) jana Jijini Dar es Salaam


  Timu hiyo iliyo chini ya makocha Boniface Pawasa na Deo Lucas inajiandaa na Fainali za Afrika za Soka la Ufukweni (BSAFCON) 2021 zitakazofanyika Jijini Dakar nchini Senegal mwezi ujao

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAID MOURAD 'MWEDA' AIBUKIA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA SOKA LA UFUKWENI KUJIANDAA NA FAINALI ZA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top