• HABARI MPYA

  Sunday, April 18, 2021

  BARCA WAICHAPA BILBAO 4-0 NA KUTWAA KOMBE LA MFALME HISPANIA


  TIMU ya FC Barcelona imetwaa Kombe la Mfalme Hispania baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Athletic Club Bilbao, mabao ya Antoine Griezmann dakika ya 60, Frenkie de Jong dakika ya 63 na Lionel Messi dakika ya 68 na 72 Uwanja wa Olimpico de Sevilla.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCA WAICHAPA BILBAO 4-0 NA KUTWAA KOMBE LA MFALME HISPANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top