• HABARI MPYA

  Friday, April 09, 2021

  MAN UNITED YAICHARAZA GRANADA 2-0 EUROPA LEAGUE  MABAO ya Marcus Rashford dakika ya 31 na Bruno Fernandes dakika ya 90 usiku huu yameipa Manchester United ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Granada katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali UEFA Europa League Uwanja wa Nuevo Los Cármenes Jijini Granada.
  Timu hizo zitarudiana Aprili 15 Uwanja wa Old Trafford na mshindi wa jumla atakutana na mshindi wa jumla kati ya Ajax na AS Roma. Leo Roma imewafunga Ajax 2-1 Jijini Amsterdam.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAICHARAZA GRANADA 2-0 EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top