• HABARI MPYA

  Tuesday, April 27, 2021

  YANGA SC WATUA MBEYA KWA NDEGE KUJIANDAA KUIVAA PRISONS IJUMAA KOMBE LA TFF SUMBAWANGA

   


  KIKOSI cha Yanga kimewasili Jijini Mbeya leo kwa maandalizi ya mchezo wake wa hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons Ijumaa Uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoani Rukwa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC WATUA MBEYA KWA NDEGE KUJIANDAA KUIVAA PRISONS IJUMAA KOMBE LA TFF SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top