• HABARI MPYA

  Sunday, April 25, 2021

  WERNER AING'ARISHA CHELSEA, YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0

   

  BAO pekee la Timo Werner dakika ya 43 leo limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.
  Ni ushindi unaoifanya The Blues ifikishe pointi 58, ingawa inabaki nafasi ya nne, ikiwazidi Wagonga Nyundo wa London pointi tatu baada ya wote kucheza mechi 33.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WERNER AING'ARISHA CHELSEA, YAICHAPA WEST HAM UNITED 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top